- 歌詞
- 專輯列表
Leteipa the King
-
Fuliza
ft DreamBoy
Verse {Leteipa the King}: Nilikutunza kama mboni, Kama walenje mfukoni, Nilikupenda sana Wewe, Kisha ukaniacha mwenyewe, Kidonda changu hakiponi, Nakutafuta sikuoni, Kumbe ulibebwa na mwewe, ukaniachia kiwewe, Na kale kamia, Ulinitupia Sijakatumia bado nakaangalia Nikifikiria vile ulinichukulia Kama sufuria ama kama ligunia Nilikupa kila kitu, vya nje mpaka vya ndani, Nawe ukanipa jipu, kupona Mi sidhani, Ni kweli nahisi wivu, kukuona kwa Fulani, Penzi lishakuwa jivu, kuni ziliisha zamani,
Chorus {Leteipa the King}: (Nine choke kuwa nawe,) my confidence ( nawe ,) my self esteem (nawe , ) my holyness (nawe,) My future dream (Nawe) My only space, (Nawe) My golden blings (Nawe) Zote umezifuliza (Nimechoka kuwa Nawe) Nirudishie ring yangu (Nawe) hata kambuzi ketu kana kidole (Nawe) bora nidate simu tangu (Nawe) itanitreat better nipone
Verse 2 {DreamBoy}: 更多更詳盡歌詞 在 ※ Mojim.com 魔鏡歌詞網 Nilikuenzi ka Kiba kwa Cinderella Nikakupa penzi, kumbe ulichojali ni hell Nikuhonge benz , magari ka ya telenovela Na sina Centi kapuku kama mfungwa jela Ila moyo wangu Nilikupa uniwekee Ukaondoka na kuniachia upweke Heartbroken moyoni Mi niteseke Huku na kule Beshte zako wanicheke {Leteipa the King} Na kale kamia, Ulinitupia Sijakatumia bado nakaangalia Nikifikiria vile ulinichukulia Kama sufuria ama kama ligunia
Chorus {Leteipa the King}: (Nine choke kuwa nawe,) my confidence ( nawe ,) my self esteem (nawe , ) my holyness (nawe,) My future dream (Nawe) My only space, (Nawe) My golden blings (Nawe) Zote umezifuliza (Nimechoka kuwa Nawe) Nirudishie ring yangu (Nawe) hata kambuzi ketu kana kidole (Nawe) bora nidate simu tangu (Nawe) itanitreat better nipone (Nimechoka kuwa nawe) kweli Haya ni mapenzi ama uhusiano wa kibiashara (Nawe) Kila mwisho wa mwezi nikupe tayari kukupa mshahara (Nawe) Nimechoka siezi tazama mwenzako nilivyoparata (Nawe) Miaka yangu Ni michache lakini tayari nishatoka kipara
-
|